Wyniki wyszukiwania: Khadja Nin: Sambolera

(8)

Wykonawcy (1)

Khadja Nin: Sambolera

Teksty piosenek (8)

Khadja Nin: Sambolera

  • Sambolera mayi son - Khadja Nin
    "Sambolera mayi son (Khadja Nin/Kevin Mulligan) Duniya ile Sambolera Oh ! wanayijifondeya Duniya yetu Sambolera Mbona wazimu... mayi Watu wa duniya Sambolera Oh ! wanajisondeka Siyo wa mungu Sambolera"
  • Bwana C - Khadja Nin
    "Mayisha yangu wewe Aca niku imbiye Ujuwe kama Tangu nimeku ona Nakupenda nakupenda wewe Hakuna duniyani Mapendo zayidi iyi Najuwa kama Hayi wezekane Nakupenda nakupenda wewe We bwana wa ungine Sikuwa najuwa"
  • Damu ya salaam - Khadja Nin
    "tangu iraki mpaka amerika wako karibu yakufunga vita mi mama mzazi nauliza ni nani ata linda watoto wetu bwana hussein anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo"
  • Kembo - Khadja Nin
    "unaniaca unaenda tena nabaki apa mimi peke yangu watoto, watoto wanaliya usiende... kembo, kembo, kembo... watoto wanaliya...wewe "napashwa" wandugu wanaliya... ni wewe "napashwa" ata mama yako"
  • Mwana wa mama - Khadja Nin
    "We mwana wa mama Tunapata haya Mbele ya duniya wandugu Kweli tumetubiya Ju tumerudi ku uwana tena wandugu Tabu ule utamwambiya nini ? Damu ya wake umemwanga bule Waca liya Usiwa ace vile Uwambiye Wambiye"
  • Sina mali, sina deni - Khadja Nin
    "Ahiya, Ahiya Kwa baraka Mimi napona Kabisa, ni hajabu Sina mwili tena Niko sawa upepo Mimi masikini Sina mali mali, sina deni Mali yangu baba Ina nyesha kama mvua Ina ruka kama ndege Ina cheka"
  • Turasa - Khadja Nin
    "ihoze mwana wa mama uwuvuga ngo umuntu aruta uwundi yego nanje ndibonera yuko imibiri yose idasa uyu urera urya ukirabura uriya uravanze jewe mbona watu wa ulimwengu wandugu kaskasini kusini wako"
  • Wale watu - Khadja Nin
    "Mbali ya ma inchi yote Mbali ya Paris au Roma Kuna watu masikini Hawa liye hawa ombe Wana itika tu vile Wale watu wana imba Ata kama wana lala njala Njo vile... kila siku Waca ile maneno ya bule Usiji"

Ostatnio wyszukiwane

Teksty piosenek

Wykonawcy

Lista alfabetyczna

Znajdujesz się na stronie wyników wyszukiwania dla frazy Khadja Nin: Sambolera. Na odsłonie znajdziesz teksty, tłumaczenia i teledyski do piosenek związanych ze słowami Khadja Nin: Sambolera. Tekściory.pl - baza tekstów piosenek, tłumaczeń oraz teledysków.